Monday, December 23, 2024
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MBUNGE MATHAYO ATEMBELEA UJENZI WA SHULE MPYA MSINGI NA SEKONDARI JIMBONI

0
- ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI -KUPOKEA WANAFUBZI JANUARY 2024 Na Shomari Binda - Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ametembelea ujenzi wa shule...

SERIKALI IMEWEKA MSISITIZOKATIKA KUENDELEZA SEKTAYA KILIMO

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka msisitizo katika kuendeleza Sekta ya kilimo...

RC MTANDA AWATAKA WATUMISHI WASIWE VIKWAZO UTOAJI WA TAARIFA

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda amekutana na Waandishi wa Habari mkoa wa Mara huku akitoa wito kwa watumishi wa umma...

DKT. BITEKO AZINDUA ZAHANATI YA BUNGONI – ILALA

0
📌 Awataka wanachi kutumia fursa za uwepo wa Zahanati hiyo kupata huduma 📌 Akemea viongozi wanaojificha Kwenye kivuli cha taratibu kuchelewesha maendeleo 📌 ...

DKT.KIJAJI: ONGEZENI KILIMO CHA MIWA KWA WINGI

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt.Ashatu Kijaji(Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kuongeza...

WASIOENDELEZA LESENI ZAO ZA MADINI KUFUTIWA KWA MUJIBU WA SHERIA- WAZIRI MAVUNDE.

0
Waziri wa Madini Mh. Anthony Peter Mavunde amewataka wamiliki Leseni za madini nchini kuziendeleza leseni husika kwa mujibu wa sheria inavyoelekeza kwa kuwa zipo...

CCM NDIO CHAMA PEKEE CHENYE HADHI YA KUENDELEA KUONGOZA SERIKALI

0
NA IS-HAKA OMAR, PEMBA. MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,amesema CCM ndio Chama pekee chenye hadhi ya kuendelea kuongoza...

JINSI YA KUSHINDA SAFARI YA KUSHUHUDIA MECHI ZA AFCON 2024 BUREEE , TIGO WAJA...

0
✓ Tigo Tanzania Yazindua Promosheni ya "Soka la Afrika Limeitika" Itakayowapa Wateja Fursa ya Kuhudhuria Kombe la Mataifa ya Afrika 2024. Meneja Huduma za Ziada...

DKT.MWINYI AKUTANA NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI UGANDA.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Meja Jenerali Paul Kisesa...

(UMKI)WAJIPAMBANUA KUUNGA JUHUDI ZA SERIKALI UJENZI WA MAENDELEO KIJIJI KIKUKWE MISSENYI.

0
Na Theophilida Felician Kagera. Wanaumoja wa Maendeleo Kijiji cha Kikukwe UMKI wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wapiga hatua katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za ujenzi...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2023,
Karibu Tukuhudumie..