Monday, December 23, 2024
Home 2023 December

Monthly Archives: December 2023

Mbunge wa Viti Maalumu amempongeza Michael Masanja kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti CCM Mwanza

0
Na Neema Kandoro, Mwanza Mbunge wa Viti Maalumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mwanza amempongeza Kwa ushindi aliopata Mwenyekiti Mpya Maiko Lusinge Maarufu kwa jina...

MAJALIWA AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MAAFA YA MAFURIKO HANANG

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang,...

WALIOFARIKI KATESH WAFIKIA 63, MAJERUHI 116

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na majeruhi 116. “Kati ya...

AKINA MAMA KAGERA WAHIMIZWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU MALEZI BORA YA WATOTO.

0
Theophilida Felician Kagera. Mwenyeki wa jukwaa la wanawake Wilaya Ngara Christina Mapunda amewakumbushia akina mama umuhimu wa kuwalea watoto kwa kuzingatia misingi ya malezi yaliyo...

KINANA AWAHAKIKISHIA WANANCHI HANANG MAELEKEZO YA RAIS DK. SAMIA YATATEKELEZWA.

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wananchi wilayani Hanang Mkoa wa Manyara hususan waliokumbwa na janga la mafuriko,...

UGONJWA WA KIPINDUPINDU WALIPUKA KAGERA, WAUA WATU WA NNE

0
Theophilida Felician, Kagera Ugonjwa wa kipindupindu umelipuka Mkoani Kagera nakusabisha vifo vya watu nne na wengine wa nne wamelazwa Hosptalini wakiendelea kupata matibabu. Akitoa taarifa ya...

TANZANIA BARA NA ZANZIBAR KUWEKA MPANGO WA PAMOJA KUTAFUTA WAWEKEZAJI KATIKA MAFUTA NA GES...

0
Na Magrethy Katengu, Dar es salaam. Bodi za Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli na Gesi Asilia (PURA) pamoja na Mamlaka ya udhibiti...

SHULE YA MSINGI KIGULUNDE YATAKIWA KUFUNGWA KWA USALAMA WA WANAFUNZI

0
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo kufunga mara Moja shule ya Msingi Kigulunde...

WAZIRI MKUU AWASILI KATESH, ATOA POLE, AENDA KUKAGUA ENEO LA TUKIO

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili wilaya ya Hanang mkoani Manyara na kukutana viongozi wa mkoa huo na wa Serikali na kupokea taarifa ya hali...

TANZANIA NA MALAWI KUSAINIA MKATABA MAKUBALIANO WA USHAROBA KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM

0
Na Magrethy Katengu NCHI ya Tanzania na Malawi zimewekeana saini ya mkataba wa ushirikiano kuhusu usharoba wa usafirishaji bidhaa baina ya nchi hizo mbili huku...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma December 2023,
Karibu Tukuhudumie..