ATOA NYUMBA YAKE KUWA KITUO CHA POLICE
Na Neema Kandoro - Mwanza
Mfanyabiashara na mkazi wa kata ya Ilangala, kisiwa cha Gana, Wilaya ya Ukerewe amejitolea nyumba yake aliyokuwa anaitumia na kuikabidhi...
DKT. BITEKO AMSHUKURU RAIS, DKT. SAMIA KWA KUSAIDIA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO...
Na Joel Maduka, Geita
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amepongeza jitihada kubwa...
KUPITIKA KWA BARABARA ZINAZOSIMAMIWA NA TANROADS MARA KIPINDI CHA MVUA WANANCHI WAPONGEZA
Na Shonari Binda-Musoma
WANANCHI kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mara wameipongeza Tanroads mkoa wa Mara kwa usimamizi mzuri wa barabara.
Kutokana na usimamizi huo umepelekea...
MWENYEKITI UVCCM WILAYA YA SAME AHITIMISHA MASHINDANO YA SAMIA CUP JIMBO LA SAME MASHARIKI...
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi CCM Wilaya ya SAME Azza Karisha amehitimisha mashindano ya SAMIA CUP...
MUHONGO: UFUGAJI WA SAMAKI KWA NJIA YA VIZIMBA UTAONDOA UMASIKINI KWA JAMII ZETU
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof. Sospeter Muhongo amesema ufungaji wa samaki kwa njia ya vizimba ni njia pekee ya kuondoa...