WASIOENDELEZA LESENI ZAO ZA MADINI KUFUTIWA KWA MUJIBU WA SHERIA- WAZIRI MAVUNDE.
Waziri wa Madini Mh. Anthony Peter Mavunde amewataka wamiliki Leseni za madini nchini kuziendeleza leseni husika kwa mujibu wa sheria inavyoelekeza kwa kuwa zipo...
CCM NDIO CHAMA PEKEE CHENYE HADHI YA KUENDELEA KUONGOZA SERIKALI
NA IS-HAKA OMAR, PEMBA.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,amesema CCM ndio Chama pekee chenye hadhi ya kuendelea kuongoza...
JINSI YA KUSHINDA SAFARI YA KUSHUHUDIA MECHI ZA AFCON 2024 BUREEE , TIGO WAJA...
✓ Tigo Tanzania Yazindua Promosheni ya "Soka la Afrika Limeitika" Itakayowapa Wateja Fursa ya Kuhudhuria Kombe la Mataifa ya Afrika 2024.
Meneja Huduma za Ziada...
DKT.MWINYI AKUTANA NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI UGANDA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Meja Jenerali Paul Kisesa...
(UMKI)WAJIPAMBANUA KUUNGA JUHUDI ZA SERIKALI UJENZI WA MAENDELEO KIJIJI KIKUKWE MISSENYI.
Na Theophilida Felician Kagera.
Wanaumoja wa Maendeleo Kijiji cha Kikukwe UMKI wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wapiga hatua katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za ujenzi...
DKT. GWAJIMA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA TCB
Na WMJJWM- Dar Es Salaam
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji...
UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP) WAFIKIA ASILIMIA 94.78
Mashine Mbili za Megawati 47O zimeshafungwa, majaribio yameanza
Ujazo wa maji watosha kuanza kuzalisha umeme
Dkt. Biteko asema kipaumbele ni upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini
Naibu...
TAMASHA LA KILIMANJARO CULTURAL FESTIVAL KUKUZA UTALII MKOANI KILIMANJARO
Na Happiness Shayo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha...
KANISA LA NEW LIFE GOSPEL COMMUNITY CHURCH (NLGCC) LAENDESHA IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA...
RC MTANDA ASHIRIKI IBADA MAALUM
Na Shomari Binda-Musoma
KANISA la New Life Gospel Community Church (NLGCC) maarufu kama "Bonde la Baraka' lenye makao makuu mkoani Mara...
RAIS DKT. MWINYI AWAHIMIZA SUZA KUFANYA UTAFITI ZAIDI
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Chuo Kikuu...