RAIS DK.MWINYI AZINDUA UWANJA MPYA WA AMAAN COMPLEX.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kujenga uwanja mpya mwingine wa kisasa ambao utatumika katika...
UMOJA WA MABALOZI WA AFRIKA WAKABIDHI MSAADA HANANG
Umoja wa Mabalozi wa nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa...
MOJA YA HAKI ZA MWANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI NI KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA
Katibu wa NEC Idara ya Organaizesheni Bw. Issa Gavu amewakumbusha wajibu wao kama Baraza la wazee wa CCM ni kushauri na kutengeneza njia sahihi...