MUHONGO AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA MAABARA SEKONDARI YA ETARO
-ACHANGIA MIFUKO 100 YA SARUJI BATI 100
-ASHUHUDIA CHUMBA CHA MAABARA YA KOMPYUTA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo ameongoza harsmbee...
PROF. KITILA MKUMBO ATOA ZAWADI YA MWISHO WA MWAKA KWA WAKAZI WA MABIBO
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amesema kivuko cha waenda kwa miguu cha Sahara kilichopo Mabibo Dar...
KIVUKO CHA GONZAGA KUPEWA JINA LA SHIGULA
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo akiwa ziarani katika Kata ya Mabibo amejadiliana na kukubaliana na Viongozi...
DKT. TULIA AWATAKA VIONGOZI MBEYA KUWAELEZA WANANCHI MAKUBWA YALIYOFANYWA NA SERIKALI
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Viongozi wa ngazi zote katika...
IFM WAKABIDHIWA VIFAA VYA TEHAMA
NA. MWANDISHI WETU - DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu Ofisi ya Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ambaye pia ni...
WATATU MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA WATU SABA WA FAMILIA MOJA
Na Theophilida Felician, Kagera
Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata watu watatu wakituhumiwa kushiriki mauaji ya watoto 7 wa familia moja huko...
DC.MGENI: HALMASHAURI, TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI TOENI KIPAOMBELE KWA VIJANA WALIOFUDHU MAFUNZO YA...
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni ameutaka uongozi wa Halmashauri hiyo pamoja na viongozi wengine wa taasisi za Umma na binafsi kutoa kipaumbele...
SERIKALI YATOA BILIONI 4.2 KUJENGA BOTI YA KUBEBA WAGONJWA ZIWA VICTORIA.
Na Neema Kandoro Mwanza
SHIRIKA LA Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imetiliana saini na Kampuni ya Muhendislik Gemi Making Plas Ve Gd San Tic Ltd...
TRAFFIC MAKAO MAKUU YAWATAKA MADEREVA KUTOKUWA CHANZO CHA HUZUNI NCHINI.
Na. Abel Paul,Jeshi la Polisi- Arusha.
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani nchini kimesema zipo sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi ya...
MWANACHUO MZUMBE ASHINDA VIFAA VYA NYUMBANI , MAGIFTI DABO DABO YA TIGO
Mwanachuo kutoka Chuo cha Mzumbe,ambaye ni mshindi wa vifaa vya nyumbani katika kampeni inayoendelea ya Magifti Dabo Dabo, Ayoub Mwenda akipokea vifaa hivo kutoka...