SERIKALI IPO TAYARI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA WA MADINI ARUSHA
Mbioni kufungua soko la pamoja la wafanyabiashara wa Madini Mererani
Na.Samwel Mtuwa - Arusha.
Serikali kupitia Wizara ya Madini imewahakikishia wafanyabiashara ya Madini mkoani Arusha kuwa...
Waziri Mhagama ashiriki Msiba wa aliyekuwa Diwani Mbinga Mhalule
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika Sera, Bunge na Uratibu (Mb.) Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameshiriki katika Mazishi ya Marehemu...
RAMLI CHONGANISHI IKOMESHWE
Na Neema Kandoro Mwanza
ZAIDI ya waganga wa tiba asili 450 Mkoani Mwanza wametaka kuwepo na njia madhubuti kuzuia waganga wanao piga ramli chonganishi ambazo...
MBUNGE MUHONGO ATAKA MCHANGO WAKE NA NGUVU ZA WANANCHI UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO...
-MBUNGE SAGINI ASEMA HATENDEWI HAKI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo ametaka mchango wake na ile ya wananchi kwa kuchangia...
HAKUNA MBADHILIFU WA MIRADI YA MAENDELEO ATAKAYEACHWA KUCHUKULIWA HATUA”RC MTANDA”
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda amesema hakuna mbadhilifu wa fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo ambaye hataachwa kuchukuliwa hatua.
Kauli...