WAZIRI MKUU AZURU VIJIJI VINNE VYA JIMBO LAKE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa leo (Alhamisi, Desemba 21, 2023) amefanya ziara kwenye vijiji vinne vya kata...
Taasisi zinazohusika na Mradi wa Magadi Soda – Engaruka zatakiwa kushirikiana kuwezesha mradi huo...
Serikali imewataka Viongozi wa Taasisi zinazohusika na Mradi wa Kimkakati wa Magadi Soda ulioko Engaruka Wilayani Monduli Mkoani Arusha kushirikiana kwa karibu katika kukamilisha...
DKT. KIJAJI AMEWATAKA VIJANA KUWA NA UADILIFU NA KUJITUMA WANAPOPATA AJIRA
Vijana wa kitanzania wametakiwa kuwa na uadilifu na kujituma wanapopata ajira, waweke kipaombele kwenye uadilifu wao wafanye kazi zile ambazo wameaminiwa kufanya ili waendelee...
MY LEGACY YAWATAKA WADAU KUHAKIKISHA WANAWAKE , VIJANA NA WENYE ULEMAVU WANASHIRIKISHWA KWENYE MAAMUZI
Wadau katika Sekta zote wametakiwa kuhakikisha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu wanashirikishwa katika maamuzi yanayohusiana na umiliki ardhi, kujua sheria zinazohusiana na ardhi...
CHAMA CHA WATUNZA KUMBUKUMBU NA NYARAKA NCHINI WAWASHIKA MKONO WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’
NA; MWANDISHI WETU – DODOMA
Waziri wa Nchi (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama Amepokea kiasi cha fedha za Kitanzania zaidi ya Shilingi Milioni...
WABUNGE MKOA WA MARA WAMPONGEZA RC MTANDA KUUCHANGAMSHA MKOA
- WAOMBA BODI YA BARABARA IJE NA HOJA YA PAMOJA
Na Shomari Binda-Musoma
WABUNGE kutoka mkoa wa Mara wamemshukuru na kumpongeza mkuu wa mkoa wa Mara...
CCM KUFANYA TATHIMINI KILA ROBO YA MWAKA NAMNA YA UTENDAJI WAO WA UTEKELEZAJI MIRADI
Na Magrethy Katengu
Katibu Nec, Itikadi na Uenezi Taifa Chama cha Mapinduzi CCM Komredi Paul Makonda amesema Chama katika kuanzia mwaka 2023,2024 kila robo ya...
ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA “HIGH SCHOOL” YA SOMO LA KOMPYUTA JIMBO LA MUSOMA...
-MUHONGO KUONGOZA HARAMBEE DISEMBA 23
Na Shomari Binda-Musoma
SHULE ya sekondari Etaro iliyopo kwenye jimbo la Musoma vijijini imekusudia kuwa " High School" yenye mchepuo wa...
DKT. KIKWETE AONGOZA JOPO LA WAZEE WA SADC KWENYE UCHAGUZI MKUU DRC
Kufuatia maelekezo ya Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Organ of Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa Jopo la Wazee...