WAFANYAKAZI WA TIGO WAPELEKA MSAADA HANANG , DC AFUNGUKA MAZITO
Na Mwandishi Wetu.
Desemba , 17, 2023. Wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo wametoa msaada wa Vyakula, Magodoro , Maji ya Kunywa , Mablanketi n.k kwa wahanga...
Mhe. Kikwete awataka watumishi wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji kushiriki kikamilifu mafunzo...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb,) amewataka watumishi wa Ofisi ya Rais, Mipango...
MY LEGACY WATOA MAFUNZO KUMULIKA HAKI YA KUMILIKI ARDHI NA MALI KWA WANAWAKE ,...
Na Mwandishi Wetu.
Taasisi isiyo ya kiserikali My Legacy imekutana na kufanya mazungumzo na wadau kutoka makundi mbalimbali kwaaajili ya kuangalia haki za wanawake, vijana...
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SAUDI ARABIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini...
WANANCHI WA KYELA WATAKIWA KULIMA KILIMO CHA KAKAO KIBIASHARA
Wananchi wa Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wametakiwa kufanya kilimo biashara katika zao la kakao ili kuinua uchumi wao kutokana na zao hilo kuzidi...
TARURA MWANZA YAHITAJI BILIONI 6.3 KURUDISHA MIUNDOMBINU KATIKA UBORA
Na Neema Kandoro Mwanza
MENEJA wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mjini Tanzania (TARURA) Mkoani Mwanza amesema mvua za Elnino zinazoendelea kunyesha zimesababisha uharibifu wa...
WENZA WA VIONGOZI WAWASHIKA MKONO WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG.
Umoja wa Wenza wa viongozi "Ladies of New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
WATUHUMIWA (27) MBARONI KWA MAKOSA YA KIHALIFU
Na Magrethy Katengu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Watuhumiwa 27 kwa tuhuma za makosa ya kihalifu ikiwemo wizi wa vifaa...
WALIMU WAKUU NCHINI WAWASHIKA MKONO WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’
NA; MWAMNDISHI – DODOMA
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amepokea Fedha Taslimu kiasi cha Shilingi Milioni Mbili...
CCM MUSOMA MJINI YATAKA MIGOGORO YA ARDHI ISHUGHULUKIWE KWA UMUHIMU WAKE
-MBUNGE MATHAYO KUWASILISHA ALIYOYAFANYA KESHO
Na Shomari Binda - Musoma
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM )wilaya ya Musoma mjini wamewaomba viongozi wa...