MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UAPISHO WA RAIS RAJOELINA.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Disemba 15, 2023 amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato uliopo Antananarivo nchini Madagascar na kupokelewa na Waziri...
Mwanza yaja na mikakati kabambe kupunguza migogoro ya Ardhi
Na Neema Kandoro Mwanza
WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetatua migogoro 945 na kutoa hati zaidi ya 1000 katika Halmashauri za wilaya...
SERIKALI YAJIVUNIA MFUMO WA KIDIJITARI WA MANUNUZI YA UMMA (NeST) KUZIBA MIANYA YA RUSHWA
Na Lusungu Helela - Arusha
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Ridhiwani Kikwete anesema eneo la ununuzi wa...
VITENGO HUDUMA YA DHARURA, “ICU” HOSPITAL YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MUSOMA YAKAMILIKA VIFAA...
Na Shomari Binda-Musoma
VIFAA tiba kwaajili ya kutolea huduma kwenye hospital ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo Musoma vimekamilishwa kwaajili ya kutoa huduma kwa wananchi.
Kuwepo...
SERIKALI IPO TAYARI KUNUNUA MADINI KUTOKA KWA WAFANYABIASHARA WA MADINI NCHINI – WAZIRI MAVUNDE
-Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia fursa, wachimbaji wadogo kuendelea kuwezeshwa vifaa
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo...
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, waaswa kufanya kazi kwa kushirikiana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa...