WAZIRI KITILA MKUMBO AAHIDI HATUA MADHUBUTI KUINUSURU DAR ES SALAAM NA MMOMONYOKO WA UDONGO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameahidi kuwa Serikali itachukua hatua madhubuti...