KUMSAIDIA MTOTO WA KIKE ASITEMBEE UMBALI MREFU KUFUATA ELIMU NI MOJA YA KIPAUMBELE CHA...
Na Scolastica Msewa, Kibaha.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar Riziki Pembe Juma amesema serikali imeweka kipaumbele kikubwa katika kumsaidia watoto...
MAJALIWA AWAPIGIA CHAPUO MADEREVA WA MALORI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wamiliki wa malori nchini wawajali madereva na wahudumu wa magari hayo ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao.
Amesema uanzishwaji...
TIGO WAJA NA HUDUMA KABAMBE ARUSHA TRADE FAIR 2023
Na Adery Masta
Kampuni ya Tigo Tanzania imeendelea kudhamini Maonesho ya Biashara Arusha Maarufu kama ARUSHA TRADE FAIR yenye lengo la kutoa fursa kwa wafanyabiashara...
MAMA LISHE ALAMBA MILIONI 10 YA MAGIFTI DABO DABO
Na Mwandishi Wetu.
Disemba 14, 2023 Bi . Rehema Makunganya Mkazi wa Mbezi Kimara anayefanya biashara ya Mama Lishe katika Soko la Mapinduzi Mwananyamala Jijini...
ICAP yatoa mashine na vifaa tiba vya zaidi ya milioni 110 mkoani Mwanza
Na Neema Kandoro Mwanza
SHIRIKA LA ICAP Mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Mfuko wa Rais Marekani wa dharura katika kupambana na ukimwi (PEPFAR) imetoa mashine...
MHE. KAIRUKI AZINDUA KAMATI YA KITAIFA YA KUONGOA SHOROBA, AIPA MAELEKEZO MAHUSUSI.
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amezindua Kamati ya Kitaifa ya kuongoa shoroba za Wanyama pori katika kongamano la kwanza...
KANALI LABAN: MABADILIKO SERA YA ELIMU, MAJIBU YA CHNGAMOTO ZA UCHUMI
Maboresho ya sera mpya ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 yana lengo la kuifanya elimu itakayotolewa nchini kukidhi mahitaji ya soko la ajira...
Serikali haitalipa fidia wavamizi wa ardhi
Na Neema Kandoro Mwanza
WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Slaa amesema serikali haitalipa fidia kwa watu wanaovamia ardhi hivyo akazitaka halmashauri...
Serikali yaahidi kufanya jitihada zaidi katika urejeshaji hali katika Mitaa, Hanang
Na Mwandishi wetu
Serikali imesema zoezi la ufunguaji wa mitaa katika mji wa Kateshi limefika 85% na mkazo mkubwa umewekwa katika kutoa udongo kwenye vipenyo...
TAASISI YA MY LEGACY NA HABITAT FOR HUMANITY TANZANIA WAKABIDHI MATUNDU 20 YA VYOO...
Taasisi isiyo ya kiserikali (My Legacy) kwa kushirikiana na Taasisi ya Habitat for humanity Tanzania (HFHT) wamekabidhi matundu ya vyoo 20 katika shule za...