KINANA:VIONGOZI SERIKALINI FUATENI NYAYO ZA RAIS SAMIA KUESHIMU SHERIA, KANUNI MNAPOCHUKUA HATUA DHIDI YA...
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ametaka viongozi na watenaji serikalini kuzingatia kanuni, sheria, utaratibu na Katiba...
UJENZI WA MAABARA KWENYE SEKONDARI ZA KATA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WASHIKA KASI
Na Shomari Binda - Musoma
Jimbo la Musoma vijijini limeamua kutatua tatizo sugu la ukosefu wa maabara za masomo ya sayansi kwenye sekondari zake za...
TARI WAWAKIMBILIA WAKULIMA WALIOATHIRIWA NA MAAFA HANANG
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania TARI imekabidhi msaada ya pembejeo za kilimo kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya mawe na tope kutoka...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA
>Aalika wawekezaji sekta ya uvuvi Tanzania Bara na Zanzibar
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish na kujadiliana...
MWAROBAINI MIGOGORO YA WANYAMAPORI NA BINADAMU WAPATIKANA
Ashrack Miraji same kilimanjaro
Katibu tawala Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro (DAS), Upendo Wella amebainisha kuwa changamoto ya wanyamapori hasa tembo kuvamia jamii zinazozunguka maeneo...