VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA AJIRA KIWANDA KIPYA CHA KUUNGANISHA MAGARI
Waziri wa Vjwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji(Mb) ametoa rai kwa vijana wa Tanzania kuendelea kujielimisha na kupata ujuzi mbalimbali ili kuwa tayari...
WAZALISHAJI WA SARUJI WATAKIWA KUONGEZA UZALISHAJI WA SARUJI YENYE UBORA KWA WINGI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita nikuona Viwanda vya Saruji nchini vinazalisha...
JINSI KIJANA WA SIMIYU ALIVYOSHINDA MILIONI TANO ZA MAGIFTI DABO DABO
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(kushoto) akizungumza na mshindi wa Magifti Dabodabo Shilingi milioni tano mkazi wa Kidinda mkoa Simiyu Robin Brasio,...
WASHINDI WA MAGIFTI DABO DABO SAFARI YA ZANZIBAR WALIVYOSINDIKIZWA KIFALME
Dar es Salaam, 10 Desemba 2023: Washindi wa Kampeni ya Magifti Dabodabo inayoendeshwa na Kampuni ya Mtandao wa simu za mkononi ya Tigo jana...
SERIKALI YAWAKARIBISHA WANANCHI KUWASILISHA CHANGAMOTO ZINAZOHUSIANA NA KODI
Na. Scola Malinga na Saidina Msangi, WF, Dar Es Salaam.
Ofisi ya Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST), imekaribisha wananchi wenye changamoto zinazohusiana...
KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO LAKABIDHI TSH. MILIONI 22 KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG
NA. MWANDISHI WETU
Kanisa la Waadventista wa Sabato kutoka Jimbo Kuu la Kaskazini Mwa Tanzania limekabidhi msaada ya fedha zaidi ya shilingi milioni 22 za...
WANANCHI WATAKIWA KUJIRIDHISHA KABLA YA KUNUNUA ARDHI
Na Shomari Binda - Musoma
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Slaa amewataka wananchi kujiridhisha kabla ya kuchukua uamuzi wa kutoa...
Wilaya ya Magu yaazimisha Miaka 62 Kwa kupanda Miti na kuendesha Mdahalo
Na Neema Kandoro Mwanza
Katibu Tawala wilayani Magu Jubilate Lawuo ameongoza Makundi ya watu mbalimbali wakiwemo wazee, walemavu, Vijana na wanafunzi katika kuendesha Mdahalo wa...
MWENYE MASHAKA NA MZANI AU KIPIMO ANACHOPIMIWA BIDHAA DUKANI ATOE TAARIFA KWA WAKALA WA...
Na Scolastica Msewa, Kibaha
Wakala wa Vipimo Tanzania WMA wametoa wito kwa Watanzania wenye mashaka na kipimo chochote wanachopimiwa katika kupata huduma au mahitaji mbalimbali...
WANANCHI KIJIJI CHA MUHOJI MUSOMA VIJIJINI WAJIPANGA KUFUNGUA SEKONDARI YAO MWAKANI
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kijiji cha Muhoji Kata ya Bugwema jimbo la Musoma vijijini wamejipanga kufumgua shule ya sekondari hapo mwakani.
Ujenzi wa awali unaokamilishwa...