WAZIRI MKUU: MTANZANIA USIKUBALI KUTOA RUSHWA
Azindua Awamu ya Nne ya Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kutoa rushwa mahali popote huku akisisitiza kuwa...
POLISI YATOA TAHADHARI MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA.
Na Mwandishi wetu, jeshi la Polisi- Dodoma.
Jeshi la Polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi juu ya mvua zinazoendela kunyesha huku likisema linao wajibu wa...
TUNU YA UMOJA NA MSHIKAMANO NI KIELELEZO CHA UHURU WETU
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Katika kuadhimisha Siku ya kumbukizi ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania bara Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni ameshiriki...
FAINALI ZA MICHUANO YA CHAMWANA SUPER CUP ZATAMATIKA MAGUNIA
Betika Wamwaga vifaa vya Michezo
KATIKA Kuadhimisha kumbukizi ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Viongozi wa Serikali ya mtaa ya Msasani wameadhimisha siku hiyo...
RC MTANDA KUTAFUTA MILIONI 30 ZA HAMASA KWA TIMU YA BIASHARA UNITED IREJEE LIGI...
-Aiombea ushindi dhidi ya Pan kesho
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda amesema anajipanga kutafuta milioni 30 kwaajili ya kutoa motisha kwa...
MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IBADA LEO DEC 10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa...