TIGO YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWEZESHA USAJILI NA UTOAJI WA VYETI VYA KUZALIWA KWA...
Na Adery Masta.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa Watoto zaidi ya milioni 8.8 wamesajiliwa na kupatiwa vyeti vya...
HAJI MANARA AMWAGA MAMILIONI , VIFAA VYA NYUMBANI NA ZAWADI KIBAO , MAGIFTI DABO...
PICHA YA PAMOJA : Mshindi wa Vifaa vya Nyumbani kutoka Hisense ambavyo ni FRIJI , MICRO WAVE , TV , na SOUNDBAR Kampeni ya...
KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA SWAPO
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha SWAPO cha Namibia Komredi...
MWENYEKITI UVCCM WILAYA YA SAME AHITIMISHA MASHINDANO YA SAMIA CUP
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya SAME Azza Karisha amehitimisha mashindano ya SAMIA CUP yaliyokuwa...
DKT.KIJAJI ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AfCFTA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA...