DIT WAASWA KUENDELEA KUHAMASISHA UBUNIFU , MAHAFALI YA 17
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo ametoa rai kwa uongozi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam...
PROF. KITILA MKUMBO ATUA KITUO CHA AFYA MAKUBURI
Waziri wa Nchi OR-MU Prof. Kitila Mkumbo baada ya kutembelea Kata ya Manzese hapo jana, hii leo amekwenda Kata ya Makuburi ambako ametembelea kituo...
PROF. KITILA MKUMBO AKUTANA NA BODABODA KIBANGU NA KUZUNGUMZA NAO
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amefanya ziara katika Kata ya Makuburi na kukutana na waendesha pikipiki...
DC SAME AWATAKA WAKAZI WA HEDARU NA MAKANYA KUONDOKA KWA MUDA MAENEO YENYE MIKONDO...
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Wakazi wa kata ya Hedaru na Makanya wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuendelee kuchukua tahadhari ikiwemo kuondoka kwa muda katika...
WIZARA YA NISHATI YATOA LITA 14,500 ZA PETROLI NA DIZELI KURAHISISHA UFANISI-KATESHI, MANYARA
Huduma ya Umeme imerejea kama kawaida
Na Zuena Msuya-Manyara
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,...