RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI TANZANIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe.Fahad Rashid S Ali Marekhi...
DR KIJAJI AWAHASA FCC NA WAFANYABIASHARA KATIKA KUHITIMISHA SIKU YA USHINDANI DUNIANI
Katika kuhitimisha siku ya ushindani Duniani iliyoenda sambamba na kaulimbiu isemayo 'Njama baina ya washindani na madhara yake', Waziri wa Viwanda na Biashara, Daktari...
KLM Royal Dutch Airlines Yadhamini Mashindano ya Uzinduzi wa Kombe la McEnroe Serengeti ili...
> Mashindano ya tenisi yatafanyika katikati mwa Serengeti kuanzia Novemba 29 hadi Desemba 8, 2023.
> Mashindano hayo yameandaliwa na ndugu maarufu wa McEnroe na KLM Royal...
MITAMBO ILIYOZINDULIWA NA RAIS DKT. SAMIA YAANZA UCHOROGAJI NYAMONGO
Kwa mara ya Kwanza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limefanya uchorongaji katika maeneo yanayomilikiwa na Wachimbaji wadogo kwa kutumia Mitambo ya Uchorongaji Maalum...
MBUNGE GHATI CHOMETE KUONGOZA HARAMBEE UKAMILISHAJI UJENZI ZAHANATI YA MKOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ujenzi wa zahanati ya Kata ya Mkoma wilayani...
UHAKIKI SAHIHI WA MALORI YA MATANKI YA MAFUTA NA GASI KWA WAKALA WA VIPIMO...
NA Scolastica Msewa, Kibaha
Meneja wa kituo cha Uhakiki wa Vipimo Misugusugu Charles Mavunde amesema uhakiki wa matanki ya Malori ya kubebea vimiminika husaidia kurahisisha...
MPANGO WA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA MTOTO” MMMAM” WAZINDULIWA MANISPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
HALMASHAURI ya manispaa ya Musoma imepokea na kuzindua mpango jumuishi wa taifa wa malezi,makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto( PJT-MMMAM) wa...
Mbunge wa Viti Maalumu amempongeza Michael Masanja kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti CCM Mwanza
Na Neema Kandoro, Mwanza
Mbunge wa Viti Maalumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mwanza amempongeza Kwa ushindi aliopata Mwenyekiti Mpya Maiko Lusinge Maarufu kwa jina...
MAJALIWA AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MAAFA YA MAFURIKO HANANG
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang,...
WALIOFARIKI KATESH WAFIKIA 63, MAJERUHI 116
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na majeruhi 116.
“Kati ya...