AKINA MAMA KAGERA WAHIMIZWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU MALEZI BORA YA WATOTO.
Theophilida Felician Kagera.
Mwenyeki wa jukwaa la wanawake Wilaya Ngara Christina Mapunda amewakumbushia akina mama umuhimu wa kuwalea watoto kwa kuzingatia misingi ya malezi yaliyo...
KINANA AWAHAKIKISHIA WANANCHI HANANG MAELEKEZO YA RAIS DK. SAMIA YATATEKELEZWA.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wananchi wilayani Hanang Mkoa wa Manyara hususan waliokumbwa na janga la mafuriko,...
UGONJWA WA KIPINDUPINDU WALIPUKA KAGERA, WAUA WATU WA NNE
Theophilida Felician, Kagera
Ugonjwa wa kipindupindu umelipuka Mkoani Kagera nakusabisha vifo vya watu nne na wengine wa nne wamelazwa Hosptalini wakiendelea kupata matibabu.
Akitoa taarifa ya...
TANZANIA BARA NA ZANZIBAR KUWEKA MPANGO WA PAMOJA KUTAFUTA WAWEKEZAJI KATIKA MAFUTA NA GES...
Na Magrethy Katengu,
Dar es salaam.
Bodi za Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli na Gesi Asilia (PURA) pamoja na Mamlaka ya udhibiti...
SHULE YA MSINGI KIGULUNDE YATAKIWA KUFUNGWA KWA USALAMA WA WANAFUNZI
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo kufunga mara Moja shule ya Msingi Kigulunde...
WAZIRI MKUU AWASILI KATESH, ATOA POLE, AENDA KUKAGUA ENEO LA TUKIO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili wilaya ya Hanang mkoani Manyara na kukutana viongozi wa mkoa huo na wa Serikali na kupokea taarifa ya hali...
TANZANIA NA MALAWI KUSAINIA MKATABA MAKUBALIANO WA USHAROBA KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Na Magrethy Katengu
NCHI ya Tanzania na Malawi zimewekeana saini ya mkataba wa ushirikiano kuhusu usharoba wa usafirishaji bidhaa baina ya nchi hizo mbili huku...
VIJANA VIONGOZI 50 WA TANZANIA NA AFRIKA KUSINI WAJIUNGA NA MAFUNZO YA UONGOZI KATIKA...
Na Scolastica Msewa, Kibaha.VIJANA wanaochipukia katika nafasi mbalimbali za uongozi kutoka katika vyama mbalimbali vya kisasa nchi 50 wa Tanzania na Africa kusini wamejiunga...
JAFO: SERIKALI IMEWEKA KIPAUMBELE TAHADHARI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali imeweka kipaumbele katika kuimarisha huduma za hali...
WEKUNDU WA MSIMBAZI WANATARAJIA KUREJEA KAMBINI LEO
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi wanatarajia kurejea kambini leo Desemba 4 kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Wydad Casablanca Disemba...