SHEREHE ZA UHURU KUADHIMISHWA KIMIKOA, KIWILAYA
*Za Kitaifa kutumika kuzindua kuandikwa kwa Dira ya Maendeleo ya Taifa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza maadhimisho yafanyike...
SERIKALI YA DKT. SAMIA IMEKUZA USAWA WA KIJINSIA – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kazi kubwa imefanyika katika kipindi cha awamu hii ya uongozi kwa kutekeleza mikakati na sera zinazolenga kuondoa ubaguzi na...
CHATANDA ASEMA WANAWAKE WANAMCHANGO MKUBWA KWENYE MAFANIKIO YA TAIFA LETU.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amesema historia ya Bibi Titi wanawake na wananchi wanajifunza mengi kuhusu uzalendo kwa nchi yao,...
WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUSHIRIKI ZABUNI KUPITIA NeST
Na. Peter Haule, WF, Mtwara
Serikali imewataka wafanyabiashara wazawa kujiunga na Mfumo Mpya wa Kielektroniki wa Ununuzi ya Umma (NeST) ili kupata Zabuni zinazotolewa na...
Tanzania Mwenyeji wa Kongamano la Pili la AfCFTA la Wanawake katika Biashara
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wanawake wa Tanzania kushiriki Kongamano la Pili la Wanawake katika Biashara chini...
Dkt. Kijaji Aridhishwa na Kongani ya Viwanda (SINO TAN) Kwala
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan inaunga mkono jitihada zinazofanywa na...
Wanawake wafanyabiashara watakiwa kushiriki Kongamano la Wanawake la AfCFTA 2023
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zenna Ahmed Said, ametoa wito kwa wanawake wote wanaojihusisha na biashara kushiriki Kongamano la Pili...
UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM JIMBO LA MUSOMA MJINI UTAWABEBA WENYEVITI WA MITAA UCHAGUZI...
Na Shomari Binda-Musoma
UTEKELEZAJI wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) ya mwaka 2020 hadi 2025 kwenye jimbo la Musoma mjini imetajwa...
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE TAMASHA LA KUMBUKUMBU YA BIBI TITI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 03, 2023 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Tamasha ‘BibiTiti Festival’ linalofanyika katika viwanja vya Ujamaa, Ikwiriri...
MHE. MCHENGERWA AMEWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA DARAJA LA BIBI TITI
Mwandishi wetu, Rufiji
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameweka jiwe la msingi katika ujenzi...