Sunday, December 22, 2024
Home 2023 December

Monthly Archives: December 2023

WANANCHI WA KANYIGO NA KASHENYE WAHIMIZWA KUTUNZA URITHI WA KIHISTORIA

0
Theophilida Felician Kagera. Wananchi wa Kata za Kanyigo na Kashenye wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera, wamehimizwa kutunza urithi wa kihistoria, utamaduni na malikale, na kuhakikisha...

TAWA NA BONGO MOVIE KUTANGAZA UTALII KUPITIA FILAMU

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko, ameungana na wasanii wa filamu zaidi...

LOVENESS HIDANA WA MOSHI ASHINDA MILIONI TANO YA MAGIFTI DABO DABO

0
Disemba 28, 2023 Bi Lovenes Hidana Mfanyabiashara wa Nguo za Watoto kutoka Moshi - Kilimanjaro amejishindia Milioni Tano katika Kampeni ya MAGIFTI DABO DABO...

ATOA NYUMBA YAKE KUWA KITUO CHA POLICE

0
Na Neema Kandoro - Mwanza Mfanyabiashara na mkazi wa kata ya Ilangala, kisiwa cha Gana, Wilaya ya Ukerewe amejitolea nyumba yake aliyokuwa anaitumia na kuikabidhi...

DKT. BITEKO AMSHUKURU RAIS, DKT. SAMIA KWA KUSAIDIA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO...

0
Na Joel Maduka, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amepongeza jitihada kubwa...

KUPITIKA KWA BARABARA ZINAZOSIMAMIWA NA TANROADS MARA KIPINDI CHA MVUA WANANCHI WAPONGEZA

0
Na Shonari Binda-Musoma WANANCHI kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mara wameipongeza Tanroads mkoa wa Mara kwa usimamizi mzuri wa barabara. Kutokana na usimamizi huo umepelekea...

MWENYEKITI UVCCM WILAYA YA SAME AHITIMISHA MASHINDANO YA SAMIA CUP JIMBO LA SAME MASHARIKI...

0
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi CCM Wilaya ya SAME Azza Karisha amehitimisha mashindano ya SAMIA CUP...

MUHONGO: UFUGAJI WA SAMAKI KWA NJIA YA VIZIMBA UTAONDOA UMASIKINI KWA JAMII ZETU

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof. Sospeter Muhongo amesema ufungaji wa samaki kwa njia ya vizimba ni njia pekee ya kuondoa...

MISIKITI IFUNDISHE VIJANA DINI NA KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema kazi za Misikiti ukiacha kufanya ibada ya sala pia...

Emirates Crowned Transport & Logistics Company of the Year at Gulf Business Awards 2023.

0
Emirates renowned for its excellence in service, dedication to enhancing customer experiences, and relentless pursuit of innovation, has clinched the prestigious title of Transport...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma December 2023,
Karibu Tukuhudumie..