RC MTANDA ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUWAPA MAFUNZO WAKULIMA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa maagizo kwa wakurugenzi wa halmashauri zote za mkoa kuwasaidia wakulima kupata mafunzo.
Maagizo hayo yametolewa...
PWANI TUSOMESHE WATOTO TUNUFAIKE NA FURSA YA UWEKEZAJI MKUBWA WA VIWANDA UNAOENDELEA MKOANI PWANI
Na Scolastica Msewa, KibahaMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlao amewataka Wazazi wa wazawa wa Mkoa wa Pwani kusomesha watoto wao ili waweze...
Meli ya kubeba Mizigo Tani 1200 MV umoja yakamilika na kuzinduliwa Mwanza 17/11/2023
Neema Kandoro Mwanza
UKARABATI wa meli ya kubeba mizigo tani 1200 MV Umoja umekamilika na kuzinduliwa kwa ajili ya kuanza kutoa huduma zake toka Jijini...
REA YAFIKISHA UMEME KWENYE VIJIJI 455 MKOANI LINDI
VIJIJI 69 VILIVYOSALIA VITAKAMILIKA KABLA YA DESEMBA 30 MWAKA HUU
Na Veronica Simba, LINDI
Jumla ya vijiji 455 kati ya 524 vya Mkoa wa Lindi vimekwishafikishiwa...
Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awahimiza Wawekezaji wa Ndani na Nje ya Nchi Kutumia Fursa...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni...
WAZIRI DKT. GWAJIMA ASISITIZA MAMBO MATANO AKIFUNGA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, JINSIA
Na WMJJWM, Dar Es Salaam
Mawaziri wa Fedha na Mawaziri wa Jinsia barani Afrika wametakiwa kuhakikisha suala la kupambana na ukatili wa kijinsia linawekwa kwenye...
TAASISI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MKOA WA PWANI YASAIDIA WATOTO NJITI
Na Scolastica Msewa, Kibaha
Tasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mkoani Pwani kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wameadhimisha kilele cha siku ya watoto njiti kwa...
MAMA MARIAM MWINYI AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA BIG WIN UINGEREZA.
Mke wa Rais wa Zanzibar , Msarifu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mariam Mwinyi ameendelea na ziara yake...
TBS YATOA VYETI NA LESENI ZA UBORA 145 KWA WAJASIRIAMALI NA WAZALISHAJI WA BIDHAA
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetoa vyeti na leseni 145 kwa wazalishaji ambao bidhaa zao zimethibitishwa kukidhi matakwa ya Viwango kwa kipindi...
SERIKALI YAPONGEZA KAMPENI YA UPANDAJI MITI YA SHIRIKA LA Vi-AGROFORESTRY
Na Shomari Binda-Musoma
SERIKALI imepongeza kampeni ya upandaji miti inayoendeshwa na shirika la Vi-Agrofotestry katika kupambana na uhifadhi wa mazingira.
Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Tawala...