Monday, December 23, 2024
Home 2023 November

Monthly Archives: November 2023

DC MGENI ATEMBELEA WAFANYABIASHARA, AHIMIZA MATUMIZI YA MASHINE YA EFD

0
Ashrack Miraji Same kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni akitoa maelekezo kwa Meneja wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Wilaya ya Same Bw....

JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MWANAFUNZI NA KUMSABABISHIA UJAUZITO

0
Na Shomari Binda-Simiyu MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela na faini ya shilingi 300,000 Jeri Msalenge mwenye umri...

CHANDI AWATAKA WANACCM MUSOMA MJINI KUWA MARAFIKI NA KUACHA MAKUNDI

0
Na Shomari Binda-Musoma MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Patrick Chandi amewataka wanachama wa chama hicho kuwa marafiki na kuepuka makundi. Kauli hiyo...

MKUU WA WILAYA YA SAME KASILDA MGENI AMEWATAKIA MTIHANI MWEMA KIDATO CHA NNE

0
Niungane na wananchi wenzangu wa wilaya ya Same na Tanzania kwa ujumla kuwatakia watoto wetu Mtihani mwema, imani yetu ni kubwa tunategemea matokeo mazuri...

BALOZI KINGU ASISITIZA UBORA WA VIFAA NA KUONGEZA NGUVU KAZI KATIKA MIRADI YA REA

0
🔹 Lengo ni kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati Na Veronica Simba, SONGEA Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amewaagiza...

MUWASA, RUWASA WAENDELEZA KASI YA USAMBAZAJI MAJI YA BOMBA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma ( MUWASA) na Mamlaka ya Usambazaji Maji Mjini na Vijijini (RUWASA) wameendeleza kasi...

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA RAIS AA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA WATU NA...

0
Leo tarehe 19 Novemba 2023, nimempokea na kufanya naye mazungumzo Mhe. Jaji Iman Aboud, Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na...

KAMPENI YA UPANDAJI MITI SAME YAZINDULIWA RASMI

0
Ashrack Miraji, Same kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amezindua kampeni maalum ya upandaji miti kwenye Wilaya ya Same mwendelezo wa mkakati wa...

RC CHALAMILA, DKT. YONAZI WASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON

0
NA. MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 19,2023 ameshiriki IFM Alumn Marathon ambayo imeandaliwa...

LUNYAMIRA ATOA USHAURI KWA WACHEZAJI FAINALI RYAKITIMBO CUP 2023 BUNDA

0
Na Shomari Binda-Bunda MCHEZAJI wa zamani wa timu ya Yanga na Taifa Stars Edibily Jonas Lunyamira ametoa ushauri kwa wachezaji walioshiriki mashindano ya Ryakitimbo Cup...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma November 2023,
Karibu Tukuhudumie..