MAJALIWA ATATUA MGOGORO ENEO LA UJENZI JENGO LA HALMASHAURI YA ILEJE
* Walipewa sh. bilioni 2, walumbana ya zaidi ya miezi 16
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka madiwani na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje...
MAJALIWA ATEMA CHECHE MIMBA ZA WATOTO WA SHULE
*Ahoji ni kwa nini kesi mbili tu ziko mahakamani, awataka RC, Ma-DC wachukue hatua kwa wahusika*
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa...
WANAFUNZI 1,092,960 WAFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA 2023
OR-TAMISEMI
Jumla ya watahiniwa 1,092,960 sawa na asilimia 80.58 ya watahiniwa 1,356,296 wenye matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 wamefaulu ambapo wamepata...
FIFA NA TFF ZAIFUNGIA KLABU YA SIMBA KUFANYA USAJILI
Klabu ya ligi kuu nchini Tanzania Simba Sc imefungiwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu FIFA kufanya usajili wa wachezaji wa kimataifa...
WIZARA KUWEKA MIKAKATI SHIRIKISHI UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI
Kushirikiana na Makampuni bingwa ya Ushauri nchini kuitangaza sekta ya madini
Wizara ya Madini kufungua Dawati maalum la Uwekezaji TIC
Kufungua kiwanda cha uchenjuaji kitakacho hudumia...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA SONGWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Leo Novemba 23, 2023, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe,...
CCM MKOA WA MTWARA YAPONGEZA JITIHADA ZA OFISI YA WAZIRI MKUU KUKABILIANA NA MAAFA
NA. MWANDISHI WETUMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara, Mussa saidi nyengedi amepongeza juhudi za Ofisi ya Waziri Mkuu katika masuala ya menejimenti...
WAZIRI MHAGAMA AAGIZA KUIMARISHWA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO DAR
Na Mwandishi wetu
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeahidi kutoa Millioni kiasi cha shilingi 20 ili kuimarisha kivuko cha kivuko cha Magole/Mwanagati kilichopo katika...
MIKOA NA HALMASHAURI ZATAKIWA KUJIANDAA KUZUIA NA KUKABILIANA NA MAAFA
NA. MWANDISHI WETU
Viongozi katika Mikoa na Halmashauri nchini, wametakiwa kuweka jitihada za kujiandaa kuzuia na kukabiliana na maafa hususan katika kipindi hiki cha mvua...
DC HAULE AENDELEA KUPOKEA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MANISPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa wilaya ya Musoma Dkt. Khalfan Haule ameendelea kupokea kero za wananchi kuhusiana na migogoro ya ardhi manispaa ya Musoma.
Kero na...