KLINIKI YA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI KUANZA KESHO MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
KLINIKI ya utatuzi na kusikiliza kero za migogoro ya ardhi kwa mkoa wa Mara itaendelea kusikilizwa kesho Musoma vijijini.
Huu ni muendelezo baada...
WANAWAKE WATAKIWA KUSEMEA MAZURI YANAYOFANYWA NA RAIS SAMIA
Na Shomari Binda-Serengeti
WANAWAKE wametakiwa kusemea kazi nzuri inayofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuwahudumia wananchi hususani kwenye huduma za kijamii.
Kauli hiyo imetolewa...