MBUNGE KILANGO AMEMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI KWA KUENDELEA KUTHAMINI WANANCHI WA JIMBONI...
Ashrack Miraji, Same kilimanjaro
Mbuge wa jimbo la Same Mashariki Mhe. Anne Kilango amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
HAJI: WENYEVITI WA VIJIJI, VITONGOJI NA MITAA WASIOWAJIBIKA KWA WANANCHI HAWAHITAJIKI NDANI YA CCM
Na Scolastica Msewa, KibahaKatibu wa NEC. Organaizesheni Taifa Issa Haji Ussi Gavu amesema CCM hakihitaji Viongozi wa mitaa, vitongoji na vijiji wasiowajibika kwa Wananchi...
WATEJA WA TIGO WAIPOKEA KWA KISHINDO MAGIFTI DABO DABO
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(wa pili kushoto) akimpatia zawadi ya fulana mteja wa mtandao wa Tigo Alicia Benedicto, wakati wa uzinduni...
DKT. MWIGULU AKIPONGEZA CHUO CHA MIPANGO KWA KUWAINUA WANANCHI KIUCHUMI.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Dkt. Remidius Ruhinduka, alisema Chuo cha Mipango kikiwa ni Chuo pekee hapa nchini chenye jukumu la kuandaa watalaamu wa...