MIKOA NA HALMASHAURI ZATAKIWA KUJIANDAA KUZUIA NA KUKABILIANA NA MAAFA
NA. MWANDISHI WETU
Viongozi katika Mikoa na Halmashauri nchini, wametakiwa kuweka jitihada za kujiandaa kuzuia na kukabiliana na maafa hususan katika kipindi hiki cha mvua...
DC HAULE AENDELEA KUPOKEA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MANISPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa wilaya ya Musoma Dkt. Khalfan Haule ameendelea kupokea kero za wananchi kuhusiana na migogoro ya ardhi manispaa ya Musoma.
Kero na...
“TUWAUNGE MKONO WATU WENYE ULEMAVU NCHINI” NAIBU WAZIRI NDERIANANGA
NA. MWANDISHI WETU
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga aemtoa wito kwa wadau kuendelea kuunga...
HAJI MANARA ATANGAZA KUTOA MAGARI 2 NA MAMILIONI YA PESA ” MAGIFTI DABO DABO...
Kiasi cha shilingi milioni 30 pamoja na magari mawili mapya yatatolewa.
DAR ES SALAAM, TANZANIA, Tarehe 22 Novemba 2023 - Kampuni ya mtindo wa maisha...
SERIKALI YATOA MAGARI 31 NA VIFAA TIBA KWA SHUGHULI ZA AFYA MKOA WA MARA
Na Shomari Binda-Musoma
SERIKALI imetoa jumla ya magari 31 na vifaa tiba mkoani Mara kwaajili ya kuhudumia wagonjwa na kufanya ufatiliaji wa shughuli za afya.
Magari...
MADIWANI MKURANGA WAMSHUKURU RAIS DKT SAMIA FEDHA ZA MAENDELEO KUFIKA MAPEMA MKURANGA
Na Scolastica Msewa, Mkuranga.Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
WALIPENI MADENI, WAHISHENI MALIPO YA WAKANDARASI- CHONGOLO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Daniel Godfrey Chongolo amesema kupitia utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi ya 2020 – 2025, CCM itahakikisha...