KINANA AKUTANA NA BALOZI WA SOMALIA
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Somalia nchini Tanzania, Mhe. Zahra Ali Hassan leo Jumanne,...
MAJALIWA AMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA LINDI, TECLA UNGELE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Lindi, Tecla Ungele anayepata matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma,...
TIGO NA UN WOMEN KUWAJENGEA MABINTI NA WANAWAKE UWEZO WA TEHAMA
Dar es Salaam, Tanzania, Jumanne 21, 2023 - UN Women Tanzania imeshirikiana na Tigo Tanzania, chini ya Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited, kuwawezesha...
CHANDI AWATAKA VIONGOZI KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI, AAGIZA ALIYEPORWA ENEO LA “CAR WASH” KURUDISHIWA
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Patrick Chandi amewataka viongozi wa chama na serikali kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi.
Kauli...
RC MTANDA ATAKA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA KLINIKI YA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI
-ATUMIA SAA 7 KUWASIKILIZA WANANCHI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mohamed Mtanda amezindua klinick ya kusikiliza migogoro ya ardhi na kutaka kupokea...
DC MGENI ATEMBELEA WAFANYABIASHARA, AHIMIZA MATUMIZI YA MASHINE YA EFD
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni akitoa maelekezo kwa Meneja wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Wilaya ya Same Bw....
JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MWANAFUNZI NA KUMSABABISHIA UJAUZITO
Na Shomari Binda-Simiyu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela na faini ya shilingi 300,000 Jeri Msalenge mwenye umri...