CHANDI AWATAKA WANACCM MUSOMA MJINI KUWA MARAFIKI NA KUACHA MAKUNDI
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Patrick Chandi amewataka wanachama wa chama hicho kuwa marafiki na kuepuka makundi.
Kauli hiyo...
MKUU WA WILAYA YA SAME KASILDA MGENI AMEWATAKIA MTIHANI MWEMA KIDATO CHA NNE
Niungane na wananchi wenzangu wa wilaya ya Same na Tanzania kwa ujumla kuwatakia watoto wetu Mtihani mwema, imani yetu ni kubwa tunategemea matokeo mazuri...
BALOZI KINGU ASISITIZA UBORA WA VIFAA NA KUONGEZA NGUVU KAZI KATIKA MIRADI YA REA
🔹 Lengo ni kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati
Na Veronica Simba, SONGEA
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amewaagiza...
MUWASA, RUWASA WAENDELEZA KASI YA USAMBAZAJI MAJI YA BOMBA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma ( MUWASA) na Mamlaka ya Usambazaji Maji Mjini na Vijijini (RUWASA) wameendeleza kasi...
BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA RAIS AA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA WATU NA...
Leo tarehe 19 Novemba 2023, nimempokea na kufanya naye mazungumzo Mhe. Jaji Iman Aboud, Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na...