KAMPENI YA UPANDAJI MITI SAME YAZINDULIWA RASMI
Ashrack Miraji, Same kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amezindua kampeni maalum ya upandaji miti kwenye Wilaya ya Same mwendelezo wa mkakati wa...
RC CHALAMILA, DKT. YONAZI WASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON
NA. MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 19,2023 ameshiriki IFM Alumn Marathon ambayo imeandaliwa...
LUNYAMIRA ATOA USHAURI KWA WACHEZAJI FAINALI RYAKITIMBO CUP 2023 BUNDA
Na Shomari Binda-Bunda
MCHEZAJI wa zamani wa timu ya Yanga na Taifa Stars Edibily Jonas Lunyamira ametoa ushauri kwa wachezaji walioshiriki mashindano ya Ryakitimbo Cup...
RC MTANDA ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI KUWAPA MAFUNZO WAKULIMA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa maagizo kwa wakurugenzi wa halmashauri zote za mkoa kuwasaidia wakulima kupata mafunzo.
Maagizo hayo yametolewa...