MWENYEKITI WA BODI YA NISHATI VIJIJINI AAGIZA MIRADI YOTE IKAMILIKE KABLA YA DESEMBA 2023
ATAKA WAKANDARASI KUHAKIKISHA UBORA NA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Na Veronica Simba-REA, Mtwara
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu...
WAKULIMA MARA WAELEZA MAONYESHO YA KILIMO MSETO YA V-i AGROFORESTRY YALIVYOWAINUA KIUCHUMI
Na Shomari Binda-Musoma
WAKULIMA mkoani Mara wameelezea namna walivyo nufaika na maonyesho na mafunzo ya shughuli za kilimo mseto yaliyotimiza miaka 40.
Maonyesho hayo yamekuwa yakifanyika...
KOROSHO IKIDONDOKA IOKOTWE HARAKA KABLA HAIJAINGIA UNYEVU WA MVUA – MNG’ERESA
Na Scolastica Msewa, Mkuranga
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Ushirika wa Wakulima wa Mkoa wa Pwani CORECU Musa Mngeresa amewataka Wakulima mkoani humo kuendelea kulinda...