MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU
*Asisitiza kazi ya uthamini si ya wababaishaji au vishoka
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wathamini wote wawe waadilifu, wenye weledi na wazingatie miiko ya taaluma...
DKT SHEIN ATETA NA VIONGOZI WA CHUO KIKUU MZUMBE
Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Ali Mohammed Shein amefurahishwa na taarifa ya maendeleo ya...
CCM YAWAPA MAAGIZO MAWAZIRI WATATU KUTEKELEZA KWA KASI UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO KAGERA
Na Theophilida Felician, Kagera
Chama cha mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo Paul Makonda kimetoa maagizo ya kuwataka mawaziri wa...
TBS KUTUNUKU TUZO ZA UBORA WA BIDHAA NA HUDUMA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI...
Kuelekea kilele cha wiki ya Ubora,Shirika la Viwango Tanzania(TBS) limeandaa maadhimisho ya siku ya Ubora yenye lengo la kushukuru mchango wa wataalamu wa ubora...
SERIKALI KUKAA NA MBUNGE GHATI CHOMETE KUZUNGUMZIA UJENZI WA BARABARA TARIME
Na Shomari Binda
SERIKALI imeahidi kukaa na kuzungumza na mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ili kuzungumzia ujenzi wa kilometa 5 za...
CHALINZE KUJENGA HOTELI YA HADHI YA 5 ⭐ NA PETROL STATION KUONGEZA MAPATO
Na Scolastica Msewa, Chalinze.Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani limepitisha ujenzi wa hoteli ya hadhi ya nyota tano na kituo cha...
KLM KUJA NA NDEGE MPYA 50 ZA AIR BUS KWA SAFARI ZA MABARA KUANZIA...
Shirika la ndege la AIR FRANCE KLM limetia saini makubaliano na Airbus kwa jumla ya ndege 50 za Airbus A350-900 na A350-1000 zitakazotumwa kwa...
TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI MAKUBALIANO KUONDOA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA
Makatibu Wakuu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia...
CHANGAMOTO ZA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA ZAMBIA KUTATULIWA
Tanzania na Zambia zimekubali kutatua changamoto 25 za kibiashara zilizopo ifikapo Novemba 30, 2023 ili kuiwezesha sekta binafsi kufanya biashara bila vikwazo vyovyote baina...