MHE. KAPINGA AWATAKA REA KUONGEZA KASI YA KUUNGANISHA UMEME KWA WANANCHI KATIKA VIJIJI
Ataka wasimamizi wa miradi ya REA kuongeza ufanisi
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia...
BODI YA WAKURUGENZI TBS WAFANYA ZIARA BANDARI YA BAGAMOYO NA MBWENI
BODI ya Wakurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetembelea katika bandari ya Bagamoyo na Mbweni kwa lengo la kutazama mambo yanavyofanyika katika ukaguzi...
MIAKA 40 YA SHIRIKA LA Vi-AGROFOREST KUADHIMISHWA KWA KUWAPA MAFUNZO WAKULIMA
Na Shomari Binda-Musoma
WAKULIMA kutoka mikoa ya kanda ya ziwa na nje ya mikoa hiyo wanatarajiwa kupewa mafunzo ikiwa ni maadhimisho ya miaka 40 ya...
WAZIRI MAVUNDE: SERIKALI YAONGEZA UMILIKI WA HISA MGODI WA MWADUI
Asema imefikisha asilimia 37
Kiasi cha Shilingi bilioni 41.6 kinatarajiwa kutumika katika kulipa fidia mgodi wa kabanga Nikeli
Kutokana na Mabadiliko ya Sheria ya Mwaka 2017...