SERIKALI INATARAJIA KUKUSANYA NA KUTUMIA JUMLA YA SHILINGI TRILIONI 47.424
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025.
Dkt....
PROF. MUHONGO AENDELEA KUHAMASISHA UCHANGIAJI UJENZI WA MAABARA MASOMO YA SAYANSI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo ameendelea kuhamasisha uchangiaji wa ujenzi wa maabara za masomo ya sayansi katika shule...
WAKULIMA SERENGETI WAITWA KUPATA MBOLEA YA KUKUZIA MAHINDI
Na Shomari Binda-Serengeti
WAKULIMA wilayani Serengeti wametakiwa kufika maeneo yanayouza mbolea ili kununua mbolea kwa ajili ya kukuzia mahindi.
Wito huo umekuja baada ya halmashauri ya...
WANACHAMA 162 WA MLANDIZI FAMILY WATEMBELEA HIFADHI YA MIKUMI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA DKT....
Na Scolastica Msewa, Mikumi.
Watanzania zaidi ya elfu 60 wamefika kutembelea hifadhi ya taifa ya mikumi katika kipindi cha mwezi juni 2022 hadi mwezi juni...