WIZARA YA MADINI, WADAU WAJADILI IKOLOJIA MAENEO YA UCHIMBAJI
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali leo Novemba 3, 2023 ameongoza taasisi zinazofungamana katika shughuli za uchimbaji sambamba na wawekezaji ili kujadili changamoto...
PWANI WAZINDUA MNADA WA KOROSHO KWA KUUZA TANI 3854 KWA BEI YA SHILINGI 2094.46...
Na Scolastica Msewa, Kibiti.
Chama kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa mkoa wa Pwani CORECU kimezindua mnada wa korosho wa mwaka 2023/24 kwa kuuza tani...
WAZIRI MAVUNDE ABAINISHA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI WA VISION 2030 KWA KAMATI YA BUNGE NISHATI...
Aeleza itashirikiana na Wadau wa Maendeleo
Abainisha maeneo sita ya utafiti
Na.Wizara ya Madini- Dodoma.
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amebainisha mikakati ya namna utekelezaji wa Vision...
MKUFUNZI CHUO CHA KATOKE AWAASA WANANCHI WA BUGABO KUTILIA MKAZO SUALA LA ELIMU KWA...
Theophilida Felician Kagera.
Jamii ya mwambao wa Tarafa ya Bugabo Halmashauri ya Bukoba mkoani Kagera imehimizwa kujimudu na kutilia mkazo wa kuwapatia elimu stahiki watoto...
DKT. MWINYI ATOA NENO KUELEKEA MKUTANO WA BENKI YA DUNIA – ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,...
TANZANIA, INDONESIA ZAANZA USHIRIKIANO KWA VITENDO SEKTA YA MADINI
Bandung, Indonesia.
Wataalam wapatao 20 kutoka Wizara ya Madini na Taasisi zake wameanza rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala mbalimbali ikiwemo utafiti, usalama wa...
Mwili wa askari aliyegongwa na gari ya Shule waagwa Mwanza
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbrod Mutafungwa amewaongoza mamia ya waombolezaji wakiwemo maafisa, wakaguzi, askari wa vyeo...
TUME YA MADINI YAJA NA MIKAKATI MIPYA YA UKUSANYAJI WA MADUHULI
Yapitisha maombi mapya 7596 ya leseni za madini kuanzia Julai hadi Septemba, 2023
Mhandisi Samamba awataka watanzania wengi kuwekeza kwenye Sekta ya Madini
Ili kuhakikisha kuwa...