Shirika la bima (NIC) laja na neema kwa Vikundi
SHIRIKA la Bima (NIC) limewataka watanzania walio katika vikundi kujiunga katika mfuko unaohudumia misiba ili waweze kumudu matukio hayo yanayojitokeza kwa ghafla na kuleta...
BUKOBA DC YAJIPANGA KUHAKIKISHA WAZAZI NA WALEZI WANACHANGIA CHAKULA CHA WATOTO IPASAVYO SHULENI
Na Theophilida Felician, Kagera
Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera itaendelea kuwahimiza wazazi na walezi wa watoto kushiriki suala la kuchangia chakula cha watoto shuleni kama...