BYABATO AONGEZA NGUVU KUINUA MIRADI YA UFUGAJI WA SAMAKI
Na Theophilida Felician, Kagera
Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini na Naibu wa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Stephen...
HALMASHAURI YA MUSOMA VIJIJINI YAJIPANGA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI
Na Shomari Binda-Musoma
HALMASHAURI ya Wilaya ya Musoma vijijini imejipanga kutatua na kumaliza migogoro ya ardhi iliyopo inayochangia kurudisha nyuma maendeleo.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi...
KLINIKI YA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI KUANZA KESHO MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
KLINIKI ya utatuzi na kusikiliza kero za migogoro ya ardhi kwa mkoa wa Mara itaendelea kusikilizwa kesho Musoma vijijini.
Huu ni muendelezo baada...
WANAWAKE WATAKIWA KUSEMEA MAZURI YANAYOFANYWA NA RAIS SAMIA
Na Shomari Binda-Serengeti
WANAWAKE wametakiwa kusemea kazi nzuri inayofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuwahudumia wananchi hususani kwenye huduma za kijamii.
Kauli hiyo imetolewa...
RC MTANDA APOKEA KWA SHANGWE USHINDI WA BIASHARA UNITED
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda amepokea kwa shangwe ushindi wa timu ya Biashara United wa mabao 3-1 dhidi ya Transit...
MBUNGE KILANGO AMEMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI KWA KUENDELEA KUTHAMINI WANANCHI WA JIMBONI...
Ashrack Miraji, Same kilimanjaro
Mbuge wa jimbo la Same Mashariki Mhe. Anne Kilango amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
HAJI: WENYEVITI WA VIJIJI, VITONGOJI NA MITAA WASIOWAJIBIKA KWA WANANCHI HAWAHITAJIKI NDANI YA CCM
Na Scolastica Msewa, KibahaKatibu wa NEC. Organaizesheni Taifa Issa Haji Ussi Gavu amesema CCM hakihitaji Viongozi wa mitaa, vitongoji na vijiji wasiowajibika kwa Wananchi...
WATEJA WA TIGO WAIPOKEA KWA KISHINDO MAGIFTI DABO DABO
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(wa pili kushoto) akimpatia zawadi ya fulana mteja wa mtandao wa Tigo Alicia Benedicto, wakati wa uzinduni...
DKT. MWIGULU AKIPONGEZA CHUO CHA MIPANGO KWA KUWAINUA WANANCHI KIUCHUMI.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Dkt. Remidius Ruhinduka, alisema Chuo cha Mipango kikiwa ni Chuo pekee hapa nchini chenye jukumu la kuandaa watalaamu wa...
AOMBA KUMUONA RAIS, KUELEZA CHANGAMOTO ALIZONAZO
Na Neema Kandoro Mwanza
MJASIRIAMALI mwenye matatizo ya ulemavu wa viungo vya mwili ameomba taasisi zinazohusika kumwezesha fursa ya kumwona Rais Samia Suluhu Hassan Ili...