WANAWAKE MUSOMA MJINI YAHITIMISHA WIKI YA UWT KWA KUTOA TAULO ZA KIKE SHULE YA...
Na Shomari Binda-Musoma
UMOJA wa Wanawake (UWT) wilaya ya Musoma mjini imekamilisha wiki ya UWT kwa kuitembelea shule ya wasichana Songe sekondari na kugawa taulo...
MUWASA YATANGAZA ZAWADI KWA WATAKAOFICHUA WEZI WA MAJI
Na Shomari Binda-Muwasa
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imetangaza zawadi kwa wananchi watakaotoa taarifa ya wezi wa maji.
Katika taarifa iliyotolewa...
DC SAME AMEWATA WAKANDARASI KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa shule mpya za sekondari kwenye kata tatu za Ndungu, Maore...
UWT MUSOMA MJINI YAWAFIKIA WANAWAKE GEREZA LA MUSOMA MAADHIMISHO WIKI YA UWT
N Shomari Binda-Musoma
UMOJA wa Wanawake (UWT) wilaya ya Musoma mjini imetembelea gereza la wilaya ya Musoma na kutoa misaada ya kijamii.
Akizungumza na Mzawao Blog...
MBUNGE MATHAYO ATIMIZA AHADI YAKE KWA MKUU WA KIKOSI CHA FFU MUSOMA YA KUKARABATI...
Na Shomari Binda-.Musoma
MBUNGE jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ametimiza ahadi yake kwa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU mkoa wa Mara) ya kukarabati fari...
WAZIRI MAVUNDE ATOA ONYO WATOROSHAJI MADINI NCHINI
Utoroshaji Madini kunaikosesha Serikali Mapato
Aeleza zaidi ya Kilogram 4 za madini zilikamatwa Kahama
Serikali imewataka wadau wote wa Sekta ya Madini nchini kutojihusisha na vitendo...
RC KUNENGE AMEFIKA KATIKA VIJIJI VYA ENEO LA MUHORO WILAYANI RUFIJI KUTOA TAADHARI YA...
Na Scolastica Msewa, Rufiji.
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mheshimiwa Abubakari Kunenge amefika kutembelea Maeneo yenye viashiria vya kutokea athari za Mvua za Elnino huko...
BIHIMBA TENA : AMWAGA TOFALI 500 SHULE YA ABUYJUMAA , AHAMASISHA WAZAZI KUTATUA CHANGAMOTO...
.
Mwanaharakati Bihimba Mpaya ( Kulia ) akisalimiana na wazazi pamoja na walimu kwa kuwapungia mkono baada ya kukabidhi msaada wa tofali 500 kwa ajili...
WATANZANIA CHANGAMKIENI FURSA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA KATI YA MAREKANI NA TANZANIA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa rai kwa Sekta Binafsi kutumia fursa ya makubaliano ya majadiliano ya kibiashara kati ya...
WANANCHI WA KIJIJI CHA KENOKWE SERENGETI WAPEWA ELIMU YA USHIRIKISHWAJI JAMII NA JESHI LA...
Na Shomari Binda-Serengeti
JESHI la polisi mkoani Mara kupitia kitengo cha polisi jamii kimejikita kutoa elimu kwa wananchi ikiwemo utoaji wa taarifa za uhalifu na...