USHIRIKISHWAJI WA SEKTA KATIKA MAANDALIZI YA MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah...
BARABARA 10 ZENYE UREFU WA KM 34.6 ZAFUNGULIWA MAFIA
Mafia
Wakala ya Barabara za Vijijiji na Mijini (TARURA) Wilaya ya Mafia kwa mwaka wa fedha 2023/24 imefungua jumla ya barabara mpya 10 zenye urefu...
MIFUKO 250 YA SARUJI YA MBUNGE MUHONGO KUANZISHA UJENZI SEKONDARI MPYA YA PROF. MASAMBA
Na Shomari Binda-Musoma
MIFUKO 250 ya saruji iliyochangwa na mbunge wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo imeanzisha ujenzi wa shule mpya ya sekondari.
Saruji...
WADAU WA MITANDAO YA KIJAMII WAPEWA JUKUMU LA KUELIMISHA JAMII ULIPAJI WA KODI NA...
Wadau wa Mitandao ya Kijamii wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kuelimisha jamii umuhimu wa kulipa kodi na kudai risiti halali zinazolingana na kiasi...
TANZANIA KUKAA KWENYE RAMANI YA UCHUMI DUNIANI – WAZIRI MAVUNDE
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 na 26 jijini Dar...
WANAKUNDI LA MAENDELEO RWAMISHENYE WAMUUNGA MKONO BIBI ALIYEKWAMA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 2 ZA...
Na Theophilida Felician Kagera.
Ikiwa ni siku chache tuu bibi mlezi wa watoto yatima kituo cha UYACHO kilichopo kata Hamgembe Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera...
AMANI FC KABASA KUCHEZA ROBO FAINALI YA KWANZA ESTER BULAYA CUP KESHO
Na Shomari Binda-Bunda
TIMU ya Amani FC na Kabasa FC kesho zinashuka kwenye dimba la Sabasaba mjini Bunda kutoana jasho kwenye robo fainali ya kwanza...
TIGO KILI HALF MARATHON 2024 YAZINDULIWA RASMI, TIGO WAONGEZA ZAWADI KWA WASHINDI
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Tigo, Woinde Shisael amesema Tigo inajivunia kuwa mmoja wa wadhamini wa Mbio za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon...
” DKT SAMIA AMEBORESHA MAZINGIRA MAZURI YA BIASHARA NCHINI ” – DKT HASHIL
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah amesema Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan anahakikisha mazingira ya uwezeshaji wa biashara nchini ni mzuri ikiwa...
KIBAHA WAFANYA KUMBUKIZI YA MIAKA 24 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS...
Na Scolastica MsewaZaidi ya Shilingi milioni 14. 7 na mifuko ya 880 ya saruji imepatikana katika harambee ya kukamilisha vyumba vitano vya madarasa na...