WAWILI MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI KILIMANJARO
Na Yese Tunuka.
Moshi.JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Semeni Feruzi Alfani (45) Mkazi wa kitongoji Cha Reli...
DC SAME AAGIZA HOSPITAL MPYA YA WILAYA KUJENGEWA UZIO KUIMARISHA ULINZI.
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni amemtaka mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo ya Same Anastazia Tutuba kuangalia uwezekano wa...
WAKUU WA VITENGO VYA MAWASILIANO WAASWA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA HABARI
Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano vya Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha, wameaswa kuendelea kutangaza majukumu yanayofanywa na taasisi zao kikamilifu ili kujenga...
TANZANIA, AUSTRIA KUSHIRIKIANA ELIMU YA UFUNDI, UTALII, BIASHARA NA UWEKEZAJI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Austria zimekubaliana kuimarisha sekta za elimu ya ufundi pamoja na utalii.
Makubaliano...
WATANZANIA TUMIENI BIDHAA ZILIZOTENGENEZWA NCHINI KUENDELEZA VIWANDA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo...
TEKNOLOJIA MPYA YA HABARI YA (AI) KUCHAGIZA UKUAJI WA HABARI
Wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari kwa ujumla hapa nchini, wameshauriwa kuitumia Teknolojia mpya ya kimtandao inayojulina kama Akili bandia (Artificial Intelligence), ili...
TANZANIA YAUNGANA NA NCHI NYINGINE KUADHIMISHA MIAKA 78 YA UN
Na Magrethy Katengu
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imesema itaendelea kuweka mikakati mbalimbali ya...
WAZIRI MCHENGERWA AIPONGEZA TARURA KWA KAZI WANAYOIFANYA
#AFURAHISHWA NA TEKNOLOJIA MBADALA YA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA YA MAWE
Na.Catherine Sungura, Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ameipongeza Wakala...
TANZANIA NA QATAR KUSHIRIKIANA ZAIDI KATIKA SEKTA YA AFYA, UTAFITI MAFUTA NA GESI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo terehe 23 Oktoba 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi...
WATANZANIA WATAKIWA KUBADILIKA KULINGANA NA KASI YA MABADILIKO YA KISAYANSI
Watanzania wametakiwa kubadilika kulingana na kasi ya mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na utoaji huduma, ikiwa ni pamoja...