Monday, December 23, 2024
Home 2023 October

Monthly Archives: October 2023

MISS TANZANIA 2023 AWA KIVUTIO ONYESHO LA BIDHAA ZA VITO NA USONARA KATIKA USIKU...

0
Waziri wa Madini nchini Malawi Mhe. Monica Chang’anamuno amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi na...

AZAKI WAJENGEWA UWEZO WA MATUMIZI SAHIHI YA TEKNOLOJIA

0
Wadau mbalimbali wanaoshiriki katika wiki ya AZAKI inayoendelea Jijini Arusha wamejengewa uwezo wa matumizi sahihi ya teknolojia katika ustahimilivu wa fedha ili kuziwezesha Asasi...

WANAWAKE WAFANYABIASHARA WANOLEWA SOKO LA USHINDANI LA KIMATAIFA

0
Tanzania Women Chamber of Commerce kwa kushirikiana na East African Women in Business Platforms, 26.10.2023 iliendesha Semina elekezi kwa wanawake wafanyabiashara katika kuona fursa...

WAZIRI MKUU AZINDUA MASHINE YA KUCHANGANYA VIRUTUBISHI

0
NA. MWANDIHSI WETU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezindua mashine ya kuchanganya virutubishi kwenye vyakula na kuwaomba wadau wote...

WAJASIRIAMALI WAMETAKIWA KUTUMIA VIZURI MAONYESHO YA BRELA KUTANGAZA BIDHAA NZURI ZITAKAZO WATANGAZA ZAIDI KWENYE...

0
Na Scolastica Msewa, DAR ES SALAAM Wajasiriamali wametakiwa kutumia vizuri maonyesho mbalimbali yanayoandaliwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kutangaza bidhaa...

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NA TIGO ZANTEL WASAINI MKATABA KUPELEKA INTANETI MAJUMBANI

0
 Na Mwandishi Wetu. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia shirika la mawasiliano ZICTIA na kampuni ya mtandao wa Simu TIGO-ZANTEL zimesaini Mkataba wa Makubaliano wa...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFURAHISHWA NA MCHANGO WA TIGO SEKTA YA MADINI

0
Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya Kifaa cha Intaneti yenye Kasi  kutoka Tigo , alipotembelea banda...

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO SEKTA YA MADINI- WAZIRI MKUU MAJALIWA

0
Sekta ya Madini yachangiaTshs Bilioni 678 Mwaka 2022 Mtambo wa Kutafiti Gesi ya Helium waanza leo Na.Wizara ya Madini - DSM Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania...

BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA RAIS WA CAAID

0
Balozi wa Tanzania Nchini Algeria Imani Njalikai Leo Oktoba 26, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kituo cha Uwekezaji na Maendeleo cha...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma October 2023,
Karibu Tukuhudumie..