Prof. KITILA AWATAKA VIJANA KUWAAMBIA UKWELI VIONGOZI WANAPOKOSEA BADALA YA KUWAPAMBA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CCM) Prof. Kitila Mkumbo amewataka vijana kuacha kuwa 'Machawa'...
KILOGRAMU 6.93 ZA DHAHABU ZAKAMATWA ZIKITOROSHWA CHUNYA
Yenye thamani ya shilingi milioni 961 za kitanzania
Takribani leseni 964 za wachimbaji wadogo zinafanya kazi
Wastani wa Kg 250 za dhahabu uzalishwa kwa mwezi wilayani...
KAMPENI YA MASTABATA YAZIDI KUSHIKA KASI, MIL. 350 KUTOLEWA KILA WIKI
BENKI ya NMB imeendelea kutangaza neema kwa wateja wake ambapo kupitia kampeni ya mpya ya Mastabata Halipoi itaweza kugawa zawadi kemkem sambamba na safari...
RC MTANDA AKUMBUSHA MAWASILIANO NA MAHUSIANO YA VIONGOZI KUJENGA MKOA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mohamed Mtanda amekumbusha kuwepo kwa mawasiliano na mahusiano ya karibu ya viongozi ili kujenga mkoa.
Kauli hiyo...
DKT. KIJAJI AKERWA NA TAASISI ZA SERIKALI ZENYE MAMLAKA YA UDHIBITI KUENDELEA KUFUNGIA BIASHARA...
Na Scolastica Msewa, Dar es Salaam
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji ameonyesha kukerwa kuendelea kufungwa kwa biashara na viwanda kupitia...