WIZARA YA MADINI YAFANYA MKUTANO WA PILI KWA KUWAPA WACHIMBAJI WAKUBWA, WA KATI MWELEKEO...
Ikiwa ni Jitihada za Serikali kuendelea kuweka mazingira rafiki ya kiuwekezaji katika Sekta ya Madini nchini, Wizara ya Madini na Chemba ya Migodi zimekutana...
WANANCHI VIJIJI VYA MAYANI, TEGERUKA NA KATARYO WAMSHUKURU PROF. MUHONGO KWA MRADI WA MAJI
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa vijiji 3 vya Mayani,Tegeruka na Kataryo wamemshukuru mbunge wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo kwa juhudi za ufatiliaji...
TBS YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI , MAONESHO YA BRELA
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika Maonesho ya Kwanza ya BRELA na wadau Wake yanayoendelea katika Viwanja vya Mlimani City jijini...
EWURA YAFUNGIA VITUO 2 VYA MAFUTA KWA KUHODHI MAFUTA
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imevifungia vituo viwili vya Mafuta GAPCO Tanzania Limitedi Moshi Service Station,leseni no...
MISS TANZANIA 2023 AWA KIVUTIO ONYESHO LA BIDHAA ZA VITO NA USONARA KATIKA USIKU...
Waziri wa Madini nchini Malawi Mhe. Monica Chang’anamuno amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi na...
RC,BABU AZINDUA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA KITUO CHA AFYA BWAMBO (SAME)
Na Ashrack Miraji ...
AZAKI WAJENGEWA UWEZO WA MATUMIZI SAHIHI YA TEKNOLOJIA
Wadau mbalimbali wanaoshiriki katika wiki ya AZAKI inayoendelea Jijini Arusha wamejengewa uwezo wa matumizi sahihi ya teknolojia katika ustahimilivu wa fedha ili kuziwezesha Asasi...
WANAWAKE WAFANYABIASHARA WANOLEWA SOKO LA USHINDANI LA KIMATAIFA
Tanzania Women Chamber of Commerce kwa kushirikiana na East African Women in Business Platforms, 26.10.2023 iliendesha Semina elekezi kwa wanawake wafanyabiashara katika kuona fursa...
WAZIRI MKUU AZINDUA MASHINE YA KUCHANGANYA VIRUTUBISHI
NA. MWANDIHSI WETU
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezindua mashine ya kuchanganya virutubishi kwenye vyakula na kuwaomba wadau wote...
WAJASIRIAMALI WAMETAKIWA KUTUMIA VIZURI MAONYESHO YA BRELA KUTANGAZA BIDHAA NZURI ZITAKAZO WATANGAZA ZAIDI KWENYE...
Na Scolastica Msewa, DAR ES SALAAM
Wajasiriamali wametakiwa kutumia vizuri maonyesho mbalimbali yanayoandaliwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kutangaza bidhaa...