SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NA TIGO ZANTEL WASAINI MKATABA KUPELEKA INTANETI MAJUMBANI
Na Mwandishi Wetu.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia shirika la mawasiliano ZICTIA na kampuni ya mtandao wa Simu TIGO-ZANTEL zimesaini Mkataba wa Makubaliano wa...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFURAHISHWA NA MCHANGO WA TIGO SEKTA YA MADINI
Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya Kifaa cha Intaneti yenye Kasi kutoka Tigo , alipotembelea banda...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO SEKTA YA MADINI- WAZIRI MKUU MAJALIWA
Sekta ya Madini yachangiaTshs Bilioni 678 Mwaka 2022
Mtambo wa Kutafiti Gesi ya Helium waanza leo
Na.Wizara ya Madini - DSM
Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania...
BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA RAIS WA CAAID
Balozi wa Tanzania Nchini Algeria Imani Njalikai Leo Oktoba 26, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kituo cha Uwekezaji na Maendeleo cha...
WAWILI MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI KILIMANJARO
Na Yese Tunuka.
Moshi.JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Semeni Feruzi Alfani (45) Mkazi wa kitongoji Cha Reli...
DC SAME AAGIZA HOSPITAL MPYA YA WILAYA KUJENGEWA UZIO KUIMARISHA ULINZI.
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni amemtaka mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo ya Same Anastazia Tutuba kuangalia uwezekano wa...