TANZANIA NA QATAR KUSHIRIKIANA ZAIDI KATIKA SEKTA YA AFYA, UTAFITI MAFUTA NA GESI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo terehe 23 Oktoba 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi...
WATANZANIA WATAKIWA KUBADILIKA KULINGANA NA KASI YA MABADILIKO YA KISAYANSI
Watanzania wametakiwa kubadilika kulingana na kasi ya mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na utoaji huduma, ikiwa ni pamoja...
USHIRIKISHWAJI WA SEKTA KATIKA MAANDALIZI YA MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah...
BARABARA 10 ZENYE UREFU WA KM 34.6 ZAFUNGULIWA MAFIA
Mafia
Wakala ya Barabara za Vijijiji na Mijini (TARURA) Wilaya ya Mafia kwa mwaka wa fedha 2023/24 imefungua jumla ya barabara mpya 10 zenye urefu...
MIFUKO 250 YA SARUJI YA MBUNGE MUHONGO KUANZISHA UJENZI SEKONDARI MPYA YA PROF. MASAMBA
Na Shomari Binda-Musoma
MIFUKO 250 ya saruji iliyochangwa na mbunge wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo imeanzisha ujenzi wa shule mpya ya sekondari.
Saruji...
WADAU WA MITANDAO YA KIJAMII WAPEWA JUKUMU LA KUELIMISHA JAMII ULIPAJI WA KODI NA...
Wadau wa Mitandao ya Kijamii wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kuelimisha jamii umuhimu wa kulipa kodi na kudai risiti halali zinazolingana na kiasi...
TANZANIA KUKAA KWENYE RAMANI YA UCHUMI DUNIANI – WAZIRI MAVUNDE
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 na 26 jijini Dar...
WANAKUNDI LA MAENDELEO RWAMISHENYE WAMUUNGA MKONO BIBI ALIYEKWAMA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 2 ZA...
Na Theophilida Felician Kagera.
Ikiwa ni siku chache tuu bibi mlezi wa watoto yatima kituo cha UYACHO kilichopo kata Hamgembe Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera...