TIB YAWEKEZA BILIONI 980. 7 KATIKA MIRADI MBALIMBALI
Na Magrethy Katengu
BENKI ya Maendeleo (TIB) imesema hadi kufikia Septemba 30, 2023 imewekeza jumla ya shilingi bilioni 980.7 kwenye Miradi mbalimbali ikiwemo ya Kilimo,...