UCHAKAVU WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA UKEREWE WAMGUSA MBUNGE
Vyumba viwili vya madarasa vinavyotumiwa na wanafunzi wa darasa la tatu na la nne katika shule ya msingi Bulubi wilayani ukerewe mkoani mwanza viko...
TBS WATOA UTARATIBU NA FAIDA ZA KUSHIRIKI TUZO ZA UBORA 2023
Afisa ubora mwandamizi wa TBS, Bw.Athumani Kissumo akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 13,2023 Jijini Dar es Salaam wakati wakitoa taarifa kuhusu uandaaji wa...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2023. ameshiriki maadhimisho ya siku ya chakula duniani na miaka 78 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Umoja...
SERIKALI IMEDHAMIRIA KUFUFUA KILIMO CHA MAZAO YA BIASHARA NONGWE WILAYA YA GAIRO.
Serikali imedhamiria kufufua kilimo cha mazao ya Biashara katika vijiji vitatu vya kata ya Nongwe wilaya ya Gairo mkoani Morogoro kwa kuanza na Kilimo...
WAVUVI KATIKA ZIWA VICTORIA WILAYANI UKEREWE MKOANI MWANZA WAMEIOMBA SERIKALI KUIMARISHA HALI YA USALAMA
Wavuvi katika Ziwa Victoria wilayani Ukerewe mkoani Mwanza wameiomba serikali kuimarisha hali ya usalama ili kudhibiti ongezeko la vitendo vya uharamia kwenye ziwa hilo...
MWENYEKITI UWT MKOA WA MARA NANCY MSAFIRI AMPONGEZA MBUNGE AGNESS MARWA ZIARA YA VIONGOZI...
Na Shomari Binda
MWENYEKITI wa UWT mkoa wa Mara Nancy Msafiri amempongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Agness Marwa kwa kuwaandalia ziara maalum...
ULOWA BINGWA CHEREHANI CUP 2023//RAIS SAMIA APEWA TANO KUIMARISHA MICHEZO
Na Mathias Canal, Ushetu-Shinyanga
Mashindano ya CHEREHANI CUP 2023 yamefika ukomo tarehe 15 Octoba 2023 katika uwanja wa Nyamilangano yakiwa yamefanyika kwa zaidi ya wiki...
WANAWAKE KATA YA MWISENGE YAWAKUMBUKA WANAFUNZI WENYE UHITAJI MAADHIMISHO WIKI YA UWT
Na Shomari Binda-Musoma
UMOJA wa Wanawake wa UWT Kata ya Mwisenge manispaa ya Musoma imewakumbuka na kuwasaidia wanafunzi wenye uhitaji.
Wanawake hao wamewakumbuka wanafunzi wenye mahitaji...
MWANZA VETERAN MABINGWA NYERERE DAY BONANZA 2023
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU za soka na netball za Mwanza veteran zimechukua ubingwa wa bonanza la Nyerere day 2023 lililoitimishwa mjini Musoma.
Kwenye upande wa soka...