Monday, December 23, 2024
Home 2023 October 12

Daily Archives: October 12, 2023

TANZANIA NA ZAMBIA ZAKUBALIANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA

0
Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto 8 kati ya 24 za kibiashara na 16 zilizobaki zimewekewa utaratibu wa kuzitatua ifikapo Disemba 31, 2023 ili...

SERIKALI YAOMBWA KUWAONGEZEA FEDHA TARURA

0
Na Ashrack Miraji, Same kilimanjaro. Mbunge wa Same Mashariki Mhe.Anne Kilango Malecela ameiomba Serikali kuwaongezea fedha wakala wa barabara Mjini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya...

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTOA MAONI MAREJEO NA MAPITIO YA SERA YA HABARI NA...

0
Mwenyekiti wa OJADACT Bwana Edwin Soko amewataka waandishi wa habari kujitokeza kwenye kutoa maoni kuhusu marejeo na mapitio ya sera ya habari na utangazaji...

WAZIRI MASAUNI AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOANI MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma WAZIRI wa mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Yusuf Masauni amezindua zoezi la kitaifa la ugawaji vitambulisho vya taifa mkoani Mara. Akizungumza kwenye...

WAZIRI MAVUNDE ATINGA SOKO LA DHAHABU KAHAMA USIKU,DHAHABU KILO 4 YAKAMATWA IKITOROSHWA.

0
Katika kuhakikisha inalinda rasilimali madini ili ziweze kuchangia maendeleo ya Nchi na kuinua uchumi wa watanzania, Serikali imesimamisha leseni zote Nchi nzima za Kampuni...

MAABARA ZA SAYANSI ZAANZA KUJENGWA SHULE YA SEKONDARI NYANJA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MAABARA 3 za masomo ya sayansi zimeanza kujengwa kwenye shule ya sekondari Nyanja iliyopo Kata ya Bwasi jimbo la Musoma vijijini. Maabara zinazojengwa...

HEKARI 807 ZA MASHAMBA ZATEKETEZWA MKOANI MARA

0
Ashrack Miraji Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, askari mgambo pamoja...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma October 12, 2023,
Karibu Tukuhudumie..