MBUNGE AGNESS AWAFIKISHA VIONGOZI UWT MUSOMA MJINI NYUMBANI KWA RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
Na Shomari Binda
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kutekeleza ahadi yake ya kuwafikisha viongozi wa UWT mkoa wa Mara visiwani...