TCB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Na Ashrack Miraji
Kwa kutambua jukumu muhimu linalofanywa na maofisa wa huduma kwa wateja na mawakala wake, Benki ya Tanzania Commercial Bank TCB imezindua Wiki...
MATHAYO AELEZEA UMUHIMU WA ELIMU KWA WAHITIMU KAMNYONGE SEKONDARI, AWAAHIDI “PRINTER NA PHOTOCOPY”
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo amewahimiza wahitimu wa kidato cha nne shule ya sekondari Kamnyonge kuipa umuhimu elimu kwa...
GLOBAL LINK YANUFAIKA NA ZIARA ZA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSANI KWENDA NJE YA...
Na Magrethy Katengu
Taasisi ya Global Education link (GEL)imesema kuwa imenifaika na Ziara za nje ya nchi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani serikali...
Shule ya Sekondari Bidii jijini Mwanza yang’ara ufundishaji Bora Mwaka 2023
Akizungumza kwenye Mahafari ya 10, yaliyofanyika hii Shuleni hapo Mkuu huyo amesema, wamehitimu watoto 163, wasichana ni 87 Wavulana 76 Kaimu Mkuu wa Shule...
Bodaboda apongezwa kwa kufuata sheria za Usalama barabarani
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, Mkaguzi wa Jeshi la Polisi (Insp) Hosiana Mushi, Octoba 6, 2023 akitoa elimu...
MUWASA YAKUTANA NA WATEJA NA KUTOA ELIMU KILELE WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Na Shomari Binda-Musoma
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imekutana na wateja na kutoa elimu ikiwa ni kilele cha wiki ya...
BRELA NA TIRDO WAKUTANA KUJADILI MFUMO WA TAKWIMU ZA VIWANDA
Menejimenti ya Wakala Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imekutana na Wataalamu kutoka Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda (TIRDO), kujadili kuhusu uanzishwaji...
KATIBU MKUU KIONGOZI AIPONGEZA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA USIMAMIZI MZURI WA UJENZI WA...
NA; MWANDISHI WETU DODOMA.
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Uratibu na Usimamizi mzuri wa Ujenzi wa...